9058009957

9058009957



Mohamed, katika “Kupatana na Riwaya Zangu” (1981), anatudokezea itikadi yake Anaamini kwamba:

Łazi ma mwandishi awe na mtazamo madhubuti juu ya jambo au mambo mbalimbaii ya maisha Kwa mfano, suala la umaskini, unyonge na uonevu kati ya mwanadamu na mwanadamu analionaje mwandishi ...

Anacndelea kusema kwamba:

Na mwandishi anapaswa kufuata itikadi ipi? Bila shaka ile itikadi inayotetea wengi, wazee na ndugu zetu ambao maisha yao yafanana na maisha ya wanyama ...

Huyu ni mwandishi ambaye ameishi, amesoma, na kufanya kazi barani Afrika na nchi za ng’ambo. Tumemshughulikia kwa vile ni mmoja kati ya waandishi wenye tajriba na mielekeo thabiti katika uandishi wa tamthilia na fasihi kwa ujumla

1.2 TAT1ZO LA UTAFITI

Utafiti wetu, unajikita katika tamthilia ya Amezidi, iliyoandikwa na Said Ahmed Mohamed Tutaihakiki na kuinakidi tukizingatia kipengee cha ubwege.

Tatizo hasa la utafiti wetu, ni kuchunguza ni kwa kiasi gani Amezidi ni kazi ya kiubwege na ni kiasi gani si ya kiubwege kwa kuzingatia yaliyomo na fani

Tatizo hili ni muhimu kwa vile mwandishi wa Amezidi ametumia wahusika ambao wanakatisha tamaa Kwa kiasi kikubwa wanaiingana na wahusika wa tamthilia za Beckett na Ionesco ambao ni waandishi sifika katika tapo la ubwege. Wahusika hawa hawatendi lolote la maana ila kuzungumza tu. Aidha lugha wanayotumia hutatiza mawasiliano kwa kuzunguka suala moja. Kazi inayosawiri vipengele kama hivi inahitaji kufanyiwa utafiti wa kina iii kubainisha mwelekeo wa mwandishi wake

4



Wyszukiwarka

Podobne podstrony:
Mohamed, katika “Kupatana na Riwaya Zangu” (1981), anatudokezea itikadi yake Anaamini kwamba: Łazi m
78 Handel wewnętrzny l Tabl ^ DOSTAWY RYB I PRZETWORÓW RYBNYCH NA ZAOPATRZENIE RYNKU W 1981
zamach we francji(2) Wśród przywódców grupy są Abu Hamza, alias Mohamed Achamlane, który na forach i
POLITECHNIKA ŁÓDZKAPLAN STUDIÓW NA ROK AKADEMICKI 1981/82 ŁÓDŹ 1981
as yg* Earok tzv .barckeveanticvyc antikva prachodwa - skup na pisran ztSst.flcó su pochodom od
STAN WOJENNY Stan wojenny w Polsce, ograniczenie praw obywatelskich wprowadzone w nocy z 12 na 13 gr
SNC03788 stwmf sum opadów na Ziemi jest jednak ich znaczny gradient południkowy. Strefa ofcoionównik
362 Mirosław Krajewski i pozwalają na szerszą interpretację ex post i ex antę. Tak rozumiana analiza
skarpetki Skarpetki Na sznurkach suszą się kolorowe skarpetki. Ale jedna z nich nie ma pary. Zgadnij
Na czym polega zjawisko Ramhna? Czy promieniowanie elektromagnetyczne, w którym nie ma fotonów pasuj
Na podstawie przedstawionych parametrów można zauważyć, że opracowany kalibrator C405 ma lepszą
Podziel nazwy zwierząt na sylaby. Pod każdym obrazkiem narysuj tyle kropek, ile sylab ma wyraz. Jeśl
30 (57) 1.    Na obrazku sq lustra. Policz, ile ich jest. 2.    Które
WESOŁE DYKTANDA KLASA 3 7 CZAS NA OGÓRKI Sezon og....rkowy to taki czas, kiedy nie ma int
• Zakaz zmiany na gorsze refonnatiotiis in peius - jeżeli oskarżony zaskarży wyrok, a nie ma apelacj
Otwarcie rozmów Polega na wyrównaniu nastroju i zbudowaniu zaufania do siebie i swoich ofert. Oferta

więcej podobnych podstron