9365206693

9365206693



Aidha, tunapata ‘Wimbo wa Mzee’, wimbo ambao sawa na dondoo kutoka Kilio cha Haki, unapitisha haja ya kutumainia mema siku zijazo. Mzee anatuambia kwamba, makosa yalifanywa na kizazi chake, ni kama anatubu dhambi zake. Hata hivyo hajakata tamaa. Kwake bado kuna matumaini ya chembechembe za furaha kwa vile ameacha vijana - kizazi kipya ambacho anatarajia kitaleta maendeleo yanayohitajika. Anaimba

Jana nilijua imepita na majuto Leo najua haipo Kesho haijazaliwa kamwe Kesho nitapoona ardhi hi i

matunda mema inazaa

Kuneemesha kila mtoto wake

Na ule mzigo mpya n’lojitwika mwenyewe

kwa hiari n’lojitwika

Mwepesi umekuwa.

(uk. 3)

Mzigo wa Mzee umekuwa mwepesi kwa kufikiria mafanikio yatakayojiri barani Afrika wakati kizazi kipya kitakapochukua hatamu za kuongoza. Hata hivyo, ni matumaini ambayo hadi mwisho wa tamthilia hayabainiki.

Ubwege hupingana na suala la matatizo, mzigo wa binadamu kupungua kiuzito na kuwa mwepesi wa kubebeka. Badała yake, mzigo huo huendelea kuzidi kiuzito na baadaye kumwangamiza binadamu kwa vile maisha ni kufa pole pole Aidha, wazo la kufikiri kuwa siku moja wenye njaa watapata shibe kutokana na ardhi kuzaa matunda mema linakaidi teneti za kiubwege. Wimbo wa mzee kwa ujumla, ingawa una chembechembe za mateso, huzuni na kujuta, kwa kiasi kikubwa huendeleza kigezo cha matumaini kinyume na mwelekeo wa kazi za kiubwege

83



Wyszukiwarka

Podobne podstrony:
Wimbo wanaoimba Ame na Zidi katika onyesho la tatu unaendeleza majivuno ya Waafrika Rangi nyeusi ina
Tukimulika wimbo wa Mwalimu na Wanafunzi tunapata maudhui yanayopingana na mkabala wa kiubwege Wimbo
slaga6 Sz. W. Slaga J10] wa znaczeniu, ruchami, które przynajmniej na zewnętrz nie odbywają się w cz
ITil UNiwERsyitr zielonogórski 0(«4 Lubię to! iekwfk* WA>tek 365Dołącz do nas na
SAVE1475 [] wa cylindrami roboczymi, znajdującymi się na maszynach rolniczych doczepionych do ciągni
r5 wa oraz w linii wzniesienia biegnącego na prawo od tej kępy do dalszych drzew można zaobserwować
ITil UNiwERsyitr zielonogórski 0(«4 Lubię to! iekwfk* WA>tek 365Dołącz do nas na
w wA Pracownia Rysunku Elipsa Zaprasza na ](rakówZAPRASZA I    TURA
SAVE1475 [] wa cylindrami roboczymi, znajdującymi się na maszynach rolniczych doczepionych do ciągni
65lightning THE LICHTNING WA Y TO FUN! HASH1 BSA V NA^OSAV CHA A1 SPWMGfELD, 2nd Ycyr in ° rOV<
ITil UNiwERsyitr zielonogórski 0(«4 Lubię to! iekwfk* WA>tek 365Dołącz do nas na
WA* 1 • i .. _ _ . 1 * AC x
DSC03078 metoda ramko wa •    Uczenie wszystkich gatunków chwastów na powierzchn
Oli (Ot ■Tworzy wa SztucznePrzemyśle Wpływ technik suszenia na właściwości poliamidu Rozdział
p1080154 wa.t.c rąk zwwly. nawijanie wełny na klębuszck. wspinanie się na drabinę, skoki, grę na rol
4.7 PLOTI Ploti kwa kifupi ni ule msuko wa vitushi na namna vitushi hivyo vinavyosababishana; ni seh
(WA&MO4USA0Cechy dobrej prezentacji Nawet na/epua prezentacja ne obrani ue sama Konecrca test ta

więcej podobnych podstron