9058010074

9058010074



2.5.5 DRAMA YA KIUBWEQE 0ARąN! AFRIKA

Uandishi wa drama ya kiubwege n; mpya katika eneo hili la Afrika hasa Afrika Mashariki. Hata hivyo, ni vyema kutaja kuwa sjfa 24 ubwege zimekuweko katika fasihi hasa katika fasihi simulizi. Baadhi ya elementi zinazoefldeleza ubwege kama wahusika wenye sifa za wanyama, motifu za kindoto na uchechelę alT)bazo husaidia wahusika kujibadilisha mara kwa mara, zimekuweko kwa muda mrefu katika simulizi ya Kiafrika

Kimaandishi, waandishi wa tamthilja za kiubwege Afrika Mashariki na hata Afrika nzima sio wengi. Hali hii inatokana na tofauti za kimazingira kati ya waandishi wa Kimagharibi na wale wa Kiaffika.Mazingira yaliyoendeleZ3 hali ya ubwege kama vile Vita Vikuu vya Dunia, hayakuathiri Waafrika moja kwa moja kinyume na ilivyokuwa, kwa mfano Uropa. Hivyo basi, waandishi wa Kimagharibi mfano Sartre na Camus waliathiriwa mapema na kuandika tamthilia za kiubwege Camus na Walishiriki vita hivyo kama wanajeshi

Baadhi ya waandishi wa tamthilia za kiubwege barani Afrika ni Athol Fugard ambaye amechapisha Sizwe Bansi is De ad ffre Island, Nongogo, The Coat, The Blood Knot, No Good Friday, Robert Serumaga kupitia tamth^ia kama The Elephant na Majcmgwa and a Play. Said Ahmed Mohamed naye ameandika Jrtiezid^ tamthilia tunayoishughulikia

2.6 HITIMISHO

Katika sura hii, tumeshughulikia historia ya drama, maendeleo ya tamthilia ya Kiswahili, na tanzu za drama. Tumetoa maelez0 na mifano ya aina mbalimbali za drama zikiwemo tanzia na futuhi. Tumebainisha kwamba, ingawa tanzu hizi mbili ni kuu, kuna mikondo mingine ya drama ambayo ni muhimu pia prania ya kiubwege ni aina mojawapo ya zile ambazo zimeibuka miaka michache iliyopjta na kuathiri uandishi wa fasihi. Tapo hili la uandishi wa drama, ubwege, ni ngeni na halijashug^ulikiwa ipasavyo katika uandishi na uhakiki wa fasihi Tumeshughulikia drama ya kiubwege ^a mapana iii kusaidia wasomi na wapenda fasihi kuielewa vyema aina hii ya drart^ Ai^ha, tumetoa mifano kadhaa ya waandishi wa Kiafrika na wa Kimagharibi wanaotambuljkg katika tanzu mbalimbali za drama. Uandishi wa tamthilia unaendelea kupanuka na hivyo kupata m>elekeo mingi.

33



Wyszukiwarka

Podobne podstrony:
Aidha, inabainika kuwa hadithi ya watu wanaoishi katika ulimwengu wa kidhahania wa kufikirika tu ina
3.0 SURA YA TATU 3.1    UTANGULIZI Katika sura hii tumedhamiria kuonyesha jinsi tamth
Badała ya Ame na Zidi kufanya kazi, wanatumia wakati wao mwingi kulała na kuzungumza. Suala hili la
Mohamed amefuata mtindo wa watunzi wa drama ya kiubwege Hawa huchora wahusika, wanaosawiri na kuende
Tamthilia katika onyesho la kwanza, inajaribu kueleza hali na uhusiano wa kiuchumi baina ya bara la
Wahusika wa kiubwege hukosa historia. Katika tamthilia ya Amezidi, wahusika tunaopewa hawana ukuaji
[UTW]?te Zero Drama? 1 Track 1 Script Fate/Zero Season 1 Boxset Drama CD Track 1 Grey = Emiya Kiri
[UTW]?te Zero Drama? 1 Track 2 Script Fate/Zero Season 1 Boxset Drama CD Track 2 Grey = Emiya Kiri
[UTW]?te Zero Drama? 1 Track 3 Script Fate/Zero Season 1 Boxset Drama CD Track 3 Grey = Emiya Kiri
[UTW]?te Zero Drama? 1 Track 4 Script Fate/Zero Season 1 Boxset Drama CD Track 4 Grey = Emiya Kiri
[UTW]?te Zero Drama? 1 Track 5 Script Fate/Zero Season 1 Boxset Drama CD Track 5 Grey = Emiya Kiri
[UTW]?te Zero Drama? 1 Track 6 Script Fate/Zero Season 1 Boxset Drama CD Track 6 Grey = Emiya Kiri
Słownik Polsko Norweski6 drama 312 duft drama n. dramat; ~tiker m. dramaturg tisk pm. dra

więcej podobnych podstron