9365206652

9365206652



Ni wahusika wanaovalia matambara licha ya kuwa na mazingira yenye mbolea na malighafi chungu ozima. Kuhusu uzembe wao, Ame anasema:

eee, na hiyo imenikumbusha ... wajua wewe hujapiga simu kazini kwako wala mimi sijapiga kazini kwangu kuwaeleza mabosi wetu kwamba hatujaenda kazini wiki ya pili... Yaani kwa nini ...(uk. 15)

Ame na Zidi, sawa na Waafrika, ni wahusika wenye nguvu na ambao wana kazi za kuajiriwa Ingawa wana wajibu wa kujizatiti, na jukumu la kufanikisha maendeleo ya nchi yao, wanazembea kazi. Ni wahusika wa kukatisha tamaa kwa mwandishi na hadhira.

Tamthilia inaelekea kuwacheka viongozi wa Kiafnka kwa ubwete na ujinga wao Licha ya kustarehe kwa kulała na kutoenda kazini, wahusika hawa hawapati furaha ya kudumu. Wanasumbuliwa na mbu ambao wanasambaza ugonjwa wa Malaria. Katika onyesho la nane, tunaambiwa:

Zidi: Mbu ...

Ame: Mbu ...

Zidi: Huyu! (Anakwenda kulia)

Ame: Huyu! (Anakwenda kushoto)

Zidi: Huyu (Anapigapiga makofi, lakini mbu hampati)

Ame: Huyu! (Anarusha mikono ovyo. Wanamwinda kwa muda mrefu)

(uk. 65)

Mbu ni mdudu mbaya na madhara yake kwa binadamu hayawezi kupuuzwa. Mbu hapa ni sitiari ya wakoloni, na Malaria husimamia madhara au athari ya ukoloni kwa Mwafrika Ame na Zidi, wanateseka lakini hawana njia ya kujiepusha au kukwepa mateso hayo. Tunaambiwa hawana madawa ya kutibu Malaria hiyo:

65



Wyszukiwarka

Podobne podstrony:
kama kazi ya kiubwege Ubwege ni tapo la kifasihi linalofuata falsafa ya udhanaishi Mwingiliano huu k
Elimu katika ulimwengu wa mabwege hukosa misingi thabiti ya kijamii Mara nyingi huwa ni elimu ya kui
Badała ya Ame na Zidi kufanya kazi, wanatumia wakati wao mwingi kulała na kuzungumza. Suala hili la
Mbuzi aliyekosa majani ni jazanda ya Waafrika wanaokufa kwa njaa kwa sababu ya ukame na vita vya wen
kama kazi ya kiubwege Ubwege ni tapo la kifasihi linalofuata falsafa ya udhanaishi Mwingiliano huu k
[Hayate]Mahou Sensei Negima vol13 ch115 pg094 ■san;co TO MA BYĆ, U LICHA?// N... NIEMOŻLIWEPATRZĘ TY
rpRr< ni MINISTER DELEGAT RZĄDU DO SPRAW POLSKICH NA WSCHODZIEH, Do Pana Prezesa Rady Ministrów R
skanuj0066 ni 3,3 TC • 3,72 -0,3-3,5 0,073 I Nanosząc powyższe współrzędne na płaszczyznę rysunku 9.
Scan0002 (68) •iu iriwhflttii dwńt li tinstf;pii
pdl1 ny i ón ni może. bo ón ma ludzkom krcwiekie na rencach, a tego ani ziemio świcnta, ani skole.
ELEMENTARZ TEKSTY DO CZYTANIA METODĄ SYLABOWĄ (30) na no nu ni ne an on un in en Na No Nu Ni Ne An
DSC00009 (25) i - przykłady v ****** p©ło**ni# A»oUka rięikości jednorodnej figury imanej jak na ry*
59446 tbiu02 burza ni z nadbudówką pomostu oraz zainstalowano nowa reje na maszcie. Na głównym pokł
TRIMO ■ ORSIOt NIMtU* 1)1 NI MIR OM IRJUO IM) KONIAKI nnnwu na •

więcej podobnych podstron