9058009969

9058009969



Badała ya kufikiria kifo kama mwisho wa maisha, napendekeza tukitazame kama kitendo cha mwisho katika kutimiliza maisha ya muda Basi itafuatia kwamba, tukifaulu katika kuyapa maisha yetu maana. vivyo hivyo kifo kitakuwa na maana. (Tafsiri yetu)

Katika tamthilia ya Amezidi, wahusika Ame na Zidi wanakufa huku wakicheka. Kifo chao kimegubikwa katika furaha. Zidi anapokaribia kufa analia

Aaaaa...ma...mau...mau ...mivu... maumivu.. .aaa, tumbo Aaaaa, nyama mbovu EC. EC...EC. kifo . kifo .

Aaaaa, raha... raha... raha, ah, raha, ya kifo...hata kufa kunanipa raha, Ame!

Ni...niku...nikumbuke.. Mari... Mari... yuko wapi?...Mari...

(Zidi anakufa) (uk. 80)

Naye Ame anapoelekea katika kifo chake anatuambia:

Jamani raha. . kuzimu kule nakuona. Zidi yuleeeee ..

Zidi aaaaa. sasa maumivu yanazidi. aaaaaaa sasa raha inazidi. Raha ya maumivu na maumivu ya raha.

Je. (anaigeukia hadhira) na nyinyi mnataka mwende nasi katika maumivu haya ya raha? Fanyeni basi au bora niseme msifanye kitu basi! Ah, nakufa jamani. Kifo cha raha! Naku . na . naku...naku... fa .. NAKUFA! (Ame anakufa)

(uk 85)

109



Wyszukiwarka

Podobne podstrony:
5.2 MAANA YA MAISHA Kiudhanaishi, maisha ni hatua ya kuelekea kifo. Binadamu pamoja na vitu vyote vi
Kiudhanaishi, maisha ya binadamu husawiriwa kama fujo Hali hii hubainika kupitia shughuli mbalimbali
Haya ni maisha ya kukatisha tamaa kwa umma Ni maisha ambayo hayatoi matumaini kwa watu wapenda maend
2.5.5 DRAMA YA KIUBWEQE 0ARąN! AFRIKA Uandishi wa drama ya kiubwege n; mpya katika eneo hili la Afri
Badała ya Ame na Zidi kufanya kazi, wanatumia wakati wao mwingi kulała na kuzungumza. Suala hili la
Aidha, inabainika kuwa hadithi ya watu wanaoishi katika ulimwengu wa kidhahania wa kufikirika tu ina
676ee5d9e49233121660530be338d2ed A r i. ^ v A r ▼ v A- W /WA V Łv^ rA* rAT*yA
mmBgt yĄ
Mtindo wa tamthilia zetu umetokana na ule wa fasihi ya Kiingereza ambayo ililetwa kwetu na elimu ya
4.7 PLOTI Ploti kwa kifupi ni ule msuko wa vitushi na namna vitushi hivyo vinavyosababishana; ni seh
1.7 YALIYOANDIKWA KUHUSU SOMO HILI Tamthilia ya Amezidi kama ambavyo tumetaja awali, imeshughulikiwa
Uchambuzi huu umetufaa kwa kutupatia miale ya mawazo ya waandishi wa kibwege licha ya kwamba haukuza

więcej podobnych podstron