9365206686

9365206686



kuenea kwa mawazo ya kijinga ya Mwafrika hata baada ya kifo cha viongozi wao Mwandishi hapa anadunisha fikira na mielekeo ya viongozi wa Kiafrika

Dhana ya utupu pia inabainika kupitia mazungumzo ya wahusika Ame na Zidi Mara kwa mara wanajiingiza katika maongezi yasiyokuwa na maana Maneno yao hayana mashiko na yanaendeleza kuchanganyikiwa kwao. Hii ndiyo sababu wanashindwa kutofautisha kati ya dhana za vinyume mfano swali na jibu, vicheko na vilio, kifo na uhai, kulała na kuamka, na kadhalika. Mazungumzo ya bosi na msaidizi wake ni mfano wa utupu na kuchanganyikiwa:

Msaidizi: Naam, Bosi . nipo kwa ajili yako!

Bosi:    Kwa ajili yetu

Msaidizi: Yako.

Bosi:    Yetu.

Msaidizi: Yako.

Bosi:    Yetu.

Msaidizi: Yetu.

Bosi:    Sawa.

Msaidizi: Sawa.

(uk 40)

Mazungumzo yasiyoandamana na vitendo vya maana, ni utupu wa hali ya juu. Hawa ni wahusika ambao kihalisia tungetarajia wajikaze na kujitolea muhanga kuendeleza sera na matakwa ya nchi yao Kinyume na matarajio yetu, mwandishi anawasawiri kama watu wazembe wenye ufisadi uliokithiri na ambao hawafikirii la maana ila kukaa tu na kupiga domo, huku wakisubiri vya bule Hawa ni wahusika wa kiubwege, wanaoishi katika nchi yenye ukame. kavu, utupu.

81



Wyszukiwarka

Podobne podstrony:
Uchambuzi huu umetufaa kwa kutupatia miale ya mawazo ya waandishi wa kibwege licha ya kwamba haukuza
Mbuzi aliyekosa majani ni jazanda ya Waafrika wanaokufa kwa njaa kwa sababu ya ukame na vita vya wen
Binadamu anaugua kutokana na maambukizo ya huzuni; amefanywa bubu kutokana na kuporomoka kwa&nb
4.7 PLOTI Ploti kwa kifupi ni ule msuko wa vitushi na namna vitushi hivyo vinavyosababishana; ni seh
Haya ni maisha ya kukatisha tamaa kwa umma Ni maisha ambayo hayatoi matumaini kwa watu wapenda maend
Mohamed anakiuka mwelekeo huu kwa kuwapa wahusika wake wazo ia wokovu kutoka kwa Mungu Katika sura y
Mawazo haya ya Sartre na Nietzsche juu ya Mungu, yalikuwa yamedhihirika awali hasa kupitia Pascal (F
Kuchanganyikiwa kwa mfumo wa elimu ya Kiafrika unabainika zaidi, tunapopatiwa sauti ya redio Mazingi
Mlu habadiliki kiasi hiki kwa siku moja Bila shaka Mari ameonja ya ulimwengu tangu aondoke kijiji ch
Binadamu anaugua kutokana na maambukizo ya huzuni; amefanywa bubu kutokana na kuporomoka kwa&nb
Mohamed anakiuka mwelekeo huu kwa kuwapa wahusika wake wazo ia wokovu kutoka kwa Mungu Katika sura y
skanuj0009 (405) IM..    jg a wv) xU&. -4 i- ?ya>lo-1 fioŁ-HyulA 1 iii -i- łud

więcej podobnych podstron